Saturday, November 17, 2018

Hamisa na mpenzi wake mpya mahaba kama yote ‘Penzi letu raha sana’ (Video)

Mwanamitindo Hamissa Mobetto anaendelea kula bata na mpenzi wake mpya ambaye anadaiwa kuwa ni mchezaji wa Basketball. Mrembo huyo ambaye alifanikiwa kuzaa mtoto mmoja na Diamond Platnumz na baadae kuachana, ameonekana kuwa na furaha toka awe na upenzi wake huyo mpya. Wiki hii amekuwa akipost video mfululizo akiwa na mwanaume huyo huku akiandika ujumbe ambao …

The post Hamisa na mpenzi wake mpya mahaba kama yote ‘Penzi letu raha sana’ (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...