Wednesday, September 5, 2018

Griezmann aipiga vijembe FIFA kuhusu tuzo za Ballon d’or na UEFA ashangazwa Messi kutolewa

Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madid na timu ya taifa ya Ufaransa Antoine Griezmann amefunguka kuhusu tuzo za mchezaji bora wa Dunia Ballon d’or na kusema kuwa ni za ‘ajabu’ Mshambuliaji huyo amefunguka hao wakati anaongeza na jarida la Globoesporte kuhusu tuzo mbali mbali zinazotolewa kwa wachezaji wanaofanya vizuri duniani. Griezmann licha ya kuzisaidia timu zake kutwaa …

The post Griezmann aipiga vijembe FIFA kuhusu tuzo za Ballon d’or na UEFA ashangazwa Messi kutolewa appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...