Wednesday, September 5, 2018

Faiza Amtolea Povu Zito Mwanamke wa Sugu "Koma Kupiga Picha na Mwanangu na Mungu Akufanye Uwe Tasa For Rest of Your Life "

Faiza Amtolea Povu Mwanamke wa Sugu "Koma Kupiga Picha na Mwanangu "
Mwanadada Faiza Ally ambaye ni mzazi wa mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amemjia juu mwanamke wa sasa wa sugu baada ya kuona picha za mwanadada huyo aliyepiga na Sasha ambaye ni mtoto wa Faiza.

Kupitia ukrasa wake wa instagramu Faiza amemtolea povu mwanamke huyo kwa kumpiga stop asipige naye picha mwanaye na akitaka hivyo abebe mimba azae  wake.

"Koma kupiga picha na mwananguzaa wako ...na michezo yenu hiyo sijui unapataje mtoto ....baba sasha mkataze huyo mtu mwenye sura mbaya kutafuta kiki mwanangu ...HIVI UNASHINDWA NINI KUMPA MIMBA KAMA ULIVYO NIPA MIMI AU NYIE HUWA MNAFANYAJE??????????"

Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa Faiza kumshambulia mzazi mwenzake kwani siku chache sasha alienda kwa baba yake kwaajili ya mazishi ya bibi yake ambaye ni mama mzazi wa Sugu na alimshambulia kwa kumtaka awahi kumrudisha mtoto kwakuwa amefungua shule.

''Unachotaka Niku mtenganisha sasha na baba sasa umefaulu ! Sasa mtaishia kuona picha zake insta tu ....na Mungu akufanye uwe tasa for rest of your life ! Tuone sasa kama kupiga picha na sasha ndio kutafanya awe mwanao! We ni mtumbaya mama hataki na mwanae una n'gan'gania nini ? Au unataka roho yake ? Nenda kaadapti mtoto umlee kama huzai ! Niachie mwananguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu''
Faiza alitoa maneno makali na leo pia amekuja na jambo lingine na kumsihi Sugu ampe mimba Mkewe kama alivyompa yeye.
Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...