Wednesday, September 5, 2018

EXCLUSIVE: Samatta afunguka ligi anayoitaka na dili lake la Levante ya Hispania

Nyota wa klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Mbwana Samatta amesema kuwa anatamani mno kwenda kucheza ligi kuu ya Uingereza huku akimtaja mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kuwa ndiye anayemkubali barani Ulaya. Mbwana Samatta kutimkia La Liga ya Hispania, aandaliwa dau nono Bofya hapa kupata orodha ya vijana …

The post EXCLUSIVE: Samatta afunguka ligi anayoitaka na dili lake la Levante ya Hispania appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...