Wednesday, September 5, 2018

VIDEO: Mambosasa Aongelea Mgambo waliompiga Mfanyabiashara, na Kukamtwa pikipiki ya wizi


Kamanda kanda maalum ya Dar es salaam SACP Lazaro mambosasa Amelikemea vikala sakata la askari mgambo kumpiga mfanyabiashara na kudai kuwa ni kinyume cha sheria za nchi ambapo ameongezea kusema kuwa mgambo hao wameshakamatwa na kuchukuliwa hatua kufikishwa mahakamani.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE............


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...