Friday, August 3, 2018

Video: Sarah anapika na kunifulia, hajawekeza pesa kwenye muziki wangu – Harmonize

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize aka Konde Boy amefunguka kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu muziki wake pamoja na maisha yake ambapo pia alipata fursa ya kumzungumzia mpenzi wake Sarah.

The post Video: Sarah anapika na kunifulia, hajawekeza pesa kwenye muziki wangu – Harmonize appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...