Friday, August 3, 2018

LeBron James arudi darasani Ohio Marekani

Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James ameamua kujiunga na shule ambayo amewahi kusoma huko Ohio huku akiwa na kibarua cha kuitumikia Los Angeles Lakers kwenye msimu wake wa kwanza. James mwenye umri wa maiaka 33 kupitia mtandao wake wa kijamii posti picha zinazomuonyesha akifanya mazoezi kwenye ‘gym’ ya shule ya St. Vincent–St. Mary High …

The post LeBron James arudi darasani Ohio Marekani appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...