Monday, August 6, 2018

Polisi washauri mbwa walivalishe viatu

Polisi katika mji wa Zurich nchini Uswisi wamewashauri wananchi wake kuwanunulia mbwa wao viatu ili kuwakinga na athari za viwango vya juu vya joto vinavyowatesa sasa wakazi wa bara la Ulaya. Kwa mujibu wa Kituo cha Habari cha Kitaifa (SRF), Polisi mjini Zurich wamezindua kampeni ya kuwapa ushauri wafugaji wa mbwa, jinsi ya kuwakinga wanyama …

The post Polisi washauri mbwa walivalishe viatu appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...