Monday, August 6, 2018

Mchungaji Masanja amkingia kifua Diamond ‘kuvaa kikuku kwa mwanaume sio dhambi, Mungu katuumba twende na fasheni’

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Masanja Mkandamizaji amedai kuwa kitendo cha mwanaume kuvaa cheni mguuni ( kikuku) hiyo sio dhambi katika Imani ya Kikristo bali ni fasheni tu. Masanja amesema kuwa Kikuku ni cheni tu ya kawaida ambayo mtu anaweza akaamua kuvaa miguuni, mikononi, shingoni na hata sehemu nyingine yoyote ya mwili wake kuendana na fasheni …

The post Mchungaji Masanja amkingia kifua Diamond ‘kuvaa kikuku kwa mwanaume sio dhambi, Mungu katuumba twende na fasheni’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...