Monday, August 6, 2018

Shilole ni Ndugu Yangu Kabisa Hatuelewani Chanzo Nuh Mziwanda ndo Alotugombanisha- Khadija Ziota

Shilole ni Ndugu Yangu lakini Hatuelewani Kisa Nuh Mziwanda ndo Alotugombanisha- Khadija Ziota
Mwanadada kutoka mwanza anaejulikana kama Khadija Ziota aanaesadikiwa kuwa ni mwanamke anaemlea Harmorapa kwa sasa amefunguka na kusema kuwa yeye na Shiloleh ni ndugu lakini wamekuwa hawaongei wala kupatana kwa sababu ya mwanaume ndio aliewagimbanisha.

Mimi na shiloleh atuongei kabisa, hatupatani hata kidogo kwa sababu ya mwanaume.mimi na shiloleh ni mtoto wa baba mkubwa na mdogo.lakini kwa sababu ya mwanaume katusababisha kwa sasa hatuongei kabisaa,na hata tukikutana hatuna hata salamu kabisa na hata kupigiana simu hakuna na imeshakuwa muda mrefu sana sasa hivi.

Alipoulizwa kuhusu mwanaume huyo , mwanadada khadija alimtaja mwanaume huyo kuwa na Nuh mziwanda, ambae hapo awali aliwahi kuwa mpenzi wa shilolhe kabla hajaachana nae na kuolewa na uchebe.
Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...