Friday, August 17, 2018

Mrembo Vera Sidika atangaza kuachana na Mpenzi wake Otile Brown atoa sababu hizi

Mrembo na mwanamitindo kutoka nchini Kenya Vera Sidika ameamua kuweka hadharani sababu zilizopelekea kuachana na mpenzi wake ambaye ni mwanamziki Otile Brown. Vera Sidika amekuwa mtu maarufu sana kutokana na kazi yake ya Uanamitindo pia akifungua ofisi inayohusiana na mambo ya Urembo Jijini Nairobi nchini Kenya. Mapenzi yao yamedumu kwa zaidi ya miezi miatu hadi …

The post Mrembo Vera Sidika atangaza kuachana na Mpenzi wake Otile Brown atoa sababu hizi appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...