Saturday, August 18, 2018

Diamond ajibu ishu ya kuvaa kikuku ‘wanavaa wahuni waliotoroka jela, mtu hawezi kunipangia kuvaa’

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kwa mara ya kwanza amejibu sakata la kuvaa cheni za miguuni almaarufu kama Kikuku ambapo amewasanua watu kuwa kitendo hicho kinatafsiri mbali mbali kulingana na nchi husika. Diamond kupitia Wasafi TV amesema kuwa kwa Marekani au nchini nyingine mtu kuvaa cheni mguuni anaonekana kama shujaa ambaye ametoroka jela. Pia …

The post Diamond ajibu ishu ya kuvaa kikuku ‘wanavaa wahuni waliotoroka jela, mtu hawezi kunipangia kuvaa’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...