Sunday, August 5, 2018

Kwa wale wanaopenda magari ya kifahari, mrembo Kim Kardashian amekutangazia habari hii njema kwako (+picha)

Kama una ndoto ya kumiliki gari la kifahari tena sio tu la kifahari bali lililotumiwa na moja ya wanawake maarufu zaidi duniani, Mwanamitindo Kim Kardashian West basi habari hii ikufikie. Habari ni kwamba Kim ameingiza gari lake la kifahari aina ya Land Rover Range Rover V8 2015 kwenye mnada ambapo imeripotiwa kuwa anaiuza kwa dola …

The post Kwa wale wanaopenda magari ya kifahari, mrembo Kim Kardashian amekutangazia habari hii njema kwako (+picha) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...