Wednesday, August 22, 2018

Baba Mkwe wa Majuto Afunguka 'Waladai Urithi Hospital Kabla Hajafa

Kufuatia madai ya Mke wa Marehemu, Mzee Majuto, kufukuzwa na kukataliwa kutunzwa na familia ya marehemu hususani Watoto wakubwa wa marehemu, Global TV imefanya mahojiano na Baba mzazi wa Mke wa Marehemu, Mzee Mbwana ambaye ameelezea ukweli wote anaoufahamu.

VIDEO:



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...