Wednesday, August 22, 2018

Auawa na mamba wa futi nane akijaribu kumuokoa mbwa wake

Mwanamke mmoja nchini Marekani ameuawa na mamba mwenye ukubwa wa futi nane maarufu kama ‘alligator’ baada ya kutaka kumsaidia mbwa wake aliyekuwa anapiga kelele pembezoni mwa bwawa. Victim Cassandra Cline mwenye umri wa miaka 45, ameuawa na mamba huyo kisha kumzamisha hadi chini ya maji wakati alipokuwa akifanya jitihada za kumsaidia mbwa wake huko South …

The post Auawa na mamba wa futi nane akijaribu kumuokoa mbwa wake appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...