Thursday, August 23, 2018

Baada ya Kusemekana Kuwa na Mpenzi Uganda, Wema Sepetu Aongea.

Mwanadada Wema Sepetu amefunguka baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu tangu kumekuwa na picha zilizasambaa zikionyesha mwanadada huyo akichat katika ukurasa wake wa Instagram kuwa kwa sasa anampenzi nje ya nchi na mwanaume huyo amepanga kuja Tanzania kwa ajili ya kuja kuonana nae. hata hivyo , wma sepetu amefunguka na kusema kuwa kuna watu wanamchokonoa na wamekuwa wwakifanya editing ya jina lake hili kumchafua. Wema Sepetu aliandika “Hii kitu imekuwa ikisambaa sana and i know nothing about it..natumiwa na watu wangu wa karibu na ninabaki ninatoa macho tu..jana nimeona ya kwanza na nikaona nipost zile flowers na kusema kuwa mnanitafuta ,,jamnai huyo mtu hapo juu mimi simjui na hizo edits mnazofanya ili ionekane kuwa mimi nimeandika sio kweli..kwa wanaoijua instagram vizuri mtaona kabisa kuwa hapo ni EDITS ..msione watu wamekaa kimya mkaanza kuwatafuta  na vijimambo vya kuzua zuaa..nipumzisheni basii..mmenituana mpka..mmeninanga mpakaa..nimekaa kimya tuu…this is lil bit deep.”

The post Baada ya Kusemekana Kuwa na Mpenzi Uganda, Wema Sepetu Aongea. appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...