Thursday, August 23, 2018

Young Dee "Ile Gari Nimenyanganywa Haipo Tena Mikononi Kwangu"


Rapper Machachari Young Dee Ametoboa siri kuwa kwa sasa ile gari aliyoinunua kwa mil 25 haipo mikononi mwake kwani ilinunuliwa na Uongozi aliyokuwa nayo kipindi cha nyumba hivyo wamechukua gari lao

Young Dee akihojiwa ameweka wazi kuwa kwa sasa anataka kununua Lambogini kama mambo yakimwendea vizuri

Young kwa sasa anakampuni yake inayoitwa Dream City ambayo inasimamia kazi zake pia
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...