Friday, April 4, 2025

Ahmed Ally, Adui wa Yanga ni Rafiki Yetu, Tunamwalika RC Chacha Kwa Mkapa




"Tunafanya utaratibu wa kumwalika Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha aje kujumuika na Watanzania wenzake kuangalia mwakilishi wa nchi akienda nusu fainali. Tunamwalika sababu ya mchango wake wa kuhamasiha michezo na ajifunze namna maandalizi ya kimataifa yanafanyika kwa ajili ya kuiandaa timu yake ya Tabora United."- Semaji Ahmed Ally kwenye uzinduzi wa Kispika

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...