Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limemtaka Rais Joe Biden kuitimiza ahadi yake ya kulifunga gereza la Guantanamo wakati ambapo maadhimisho ya miaka 20 tangu kufunguliwa kwake yakiwa yanakaribia. Gereza hilo lilifunguliwa mahsusi kwa ajili ya kuwazuia washukiwa wa ugaidi waliokamatwa na Marekani katika vita vyake dhidi ya ugaidi. Ni gereza lililo kwenye …
The post Amnesty yamtaka Rais Joe Biden kulifunga gereza la Guantanamo appeared first on Bongo5.com.