"Hadi kufikia leo saa nne asubuhi jumla ya watu 84 waliokolewa na kufikishwa hospitali kwaajili ya kupatiwa Matibabu, kati ya hao majeruhi 26 bado wanaendelea na Matibabu, Kwa huzuni kubwa tumewapoteza wenzetu 13 katika tukio hilo,"
"Serikali itagharamia Matibabu kwa wote waliojeruhiwana kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa ipasavyo." - Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza kufuatia kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini Dar es Salaam
Ajali hiyo ilitokea jana Jumamosi Novemba 16,2024 majira ya saa tatu asubuhi.
Source