Wednesday, October 23, 2024

Setilaiti iliyotengenezwa na Boeing yavunjika angani

 Setilaiti ya mawasiliano iliyotengenezwa na kampuni kubwa ya vyombo vya angani ya Boeing imevunjika kwenye uzingo. Mwendeshaji satelaiti, Intelsat, amethibitisha “hasara ya jumla” ya iS-33e, ambayo imeathiri wateja katika maeneo ya Ulaya, Afrika na sehemu za eneo la Asia-Pasifiki. Intelsat...

The post Setilaiti iliyotengenezwa na Boeing yavunjika angani first appeared on JAMHURI MEDIA.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...