Wednesday, October 23, 2024

NEEC yadhamiria kuwainua kiuchumi wananchi kwa kutoa elimu ya kutambua fursa

 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesema hadi sasa watu 90,000 wamesajiliwa kwenye Kazidata ya Programu Maalum ya Imarisha Uchumi na Mama Samia (IMASA) yenye lengo la kuinua uchumi wa Watanzania...

The post NEEC yadhamiria kuwainua kiuchumi wananchi kwa kutoa elimu ya kutambua fursa first appeared on JAMHURI MEDIA.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...