Tuesday, October 15, 2024

Msimu wa pili wa mashindano ya kuogelea kitaifa yafanyika Dar

 Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mashindano ya mchezo wa kuogelea kwa wale wenye mahitaji maalumu yaendeshwa kwa mara pili jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita siku ya jumamosi ya oktoba 12 mwaka huu...

The post Msimu wa pili wa mashindano ya kuogelea kitaifa yafanyika Dar first appeared on JAMHURI MEDIA.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...