Je, ni upi umuhimu wa Mto Litani katika vita kati ya Israel na Hezbollah?
Katika kila makabiliano ya kijeshi kati ya Israel na Lebanon, bila kujali ni upande gani unaopigana huko Lebanon, Mto Litani, moja ya mito muhimu zaidi ya Lebanon, huhusishwa....Source