Monday, October 21, 2024

Ali Kiba atunukiwa tuzo na wanawake Zanzibar

 MWIMBAJI wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba ‘King Kiba’ ametunukiwa tuzo Bingwa wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike kupitia Kongamano la Kigoda cha Wasichana kilichofanyika Visiwani Zanzibar.

Kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya Shiraz Foundation imemkabidhi tuzo hiyo Ali Kiba alipohudhuria na kushiriki Kongamano hilo viwanja vya Nyamanzi Zanzibar.

Katika Kongamano hilo ambalo mgeni rasmi, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (SMZ) Riziki Pembe, Mgeni Maalum na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Zena Said na Mgeni Maalum na Mlezi wa Jukwaa hilo Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Juma...Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...