Tuesday, September 3, 2024

Huyu Hapa Mrithi wa Ng'umbi Wilaya ya Longido

 

Huyu Hapa Mrithi wa Ng'umbi Wilaya ya Longido

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Salum Kali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, akichukua nafasi ya Marko Ng'umbi ambaye jana Jumapili Septemba mosi, 2024 uteuzi wake ulitenguliwa.


Kabla ya uteuzi huo, Kali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma. Uteuzi huo umefanyika leo Jumatatu Septemba 2, 2024.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...