Usafiri maarufu, pendwa na wa haraka, bodaboda unatajwa kama chanzo cha kuchangia ajali kwa asilimia 70 zinazotokea nchini Tanzania. Hayo yamebainishwa naMkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) Dk. Respicious Boniface, katika kongamano la tatu la kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambuliza Jijini Arusha Dk. Boniface amebainisha kuwa kati ya majeruhi 600 wa ajali kwa …
The post Tuki-‘stop’ bodaboda tutapunguza ajali asilimia 70 – MOI appeared first on Bongo5.com.