Moja ya sehemu ya kutambua ni kwa namna gani watu wanakufuatilia na kupenda kazi unayofanya ni mitandao ya kijamii. Katika vilabu ambavyo vinafanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii Afrika ukiitoa Al ahyl ya Misri ni @simbasctanzania ya Tanzania ambapo Instagram tu ina wafuasi mil 3.1 huku Al ahyl ikiwa na wafuasi mil 7.3. Huku Twitter @simbasctanzania wakiwa na followers …
The post Simba kinara mitandaoni, Kitu gani kinaifanya ifanya vizuri appeared first on Bongo5.com.