Wimbi la nne la COVID-19 lasababisha idadi ya maambukizi kuongezeka zaidi Ujerumani. Waziri wa Afya asema hatua ya kufunga shughuli huenda isiepukike. Waziri wa Afya wa Ujerumani Jens Spahn amesema siku ya Ijumaa kwamba hali nchini Ujerumani imezidi kuwa mbaya kuliko wiki iliyopita na kuongeza kuwa taifa linakumbwa na 'hali ya dharura ya kitaifa’. Alipoulizwa …
The post Corona yatikisa Ujerumani, Waziri wa Afya akiri hali mbaya appeared first on Bongo5.com.