Tuesday, August 3, 2021

Rais Samia atuma salamu za pole kifo cha Kwandikwa



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Jenerali Venance Mabeyo, kufuatia kifo cha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa kilichotokea jana usiku katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...