Aliyewahi kuwa Waziri wa Kilimo na Chakula nchini, Charles Keenja (80) na mkewe wamefariki dunia leo Agosti 5, 2021.
Wawili hao wamefikwa na umauti wakati wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Seifee mkoani Dar es Salaam.
Source