NAFASI YA KAZI COCU DELICIOUS FOOD
COCU FOOD. Inajishughulisha na shughuli zote zinazohusu uandaaji na usambazaji wa vyakula, vinywaji baridi, matunda na vitafunwa.
AFISA MASOKO
Aina ya kazi: Afisa masoko (nafasi 1)
KAZI ZAKE NI KUTAFUTA WATEJA WA CHAKULA
Ø Mteja mmoja mmoja
Ø Wateja wa kwenye maofisi na maduka ya rejareja
Ø Wateja wanaohitaji chakula kwenye mikutano, sherehe mbalimbali za kiserikali na kijamii na misiba
Ø Kusambaza na kuhakikisha chakula kinamfikia mlaji kikiwa safi na salama.
ENEO LA KAZI: Shinyanga Mjini
TAALUMA NA UZOEFU
Ø Awe amesomea masoko ngazi ya cheti
Ø Awe anajua Kiswahili na Kiingereza vizuri (kuongea na kuandika)
Ø Awe ana ujuzi wa kutumia computer Microsoft word na excel
Ø Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika shughuli za masoko
Ø Awe mkazi wa Shinyanga mjini
MSHAHARA
Makubaliano
UMRI
Kuanzia miaka 18 hadi 40
Muhimu
Maombi yote yatumwe kupitia; email:cocufood52@gmail.com
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:27/05/2021.