Wednesday, April 7, 2021

Tambua Dalili za Ugonjwa wa Kisukari Madhara yake na Tiba, Okoa Afya Yako




Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa ambao hutokea wakati sukari yako ya damu iko juu sana .lnsulini,homoni inayotengenezwa na kongosho,husaidia sukari kutoka kwa chakula kuingia kwenye seli zako na kutumiwa kwa nguvu

CHANZO CHA UGONJWA WA KISUKARI ,VIKO VYANZO MBALIMBALI NAVYO NI

1 shinikizo la juu LA damu (B.P)
2 Lishe yenye mafuta mengi na Wang's
3utumiaji mkubwa wa pombe
4 ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi
5 uzito na unene uliozidi
6 kuto ushughulisha mwili
7 umri

DALILI ZA MTU MWENYE KISUKARI

1 Njaa iliyoongezeka
2kiu kikubwa
3kupungua uzito
4kukojoa Mara kwa Mara
5 kupoteza uwezo wa kuona
6vidonda ambavyo haviponi
7.kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume na uharibifu wa erectile( ED)
na nguvu za misuli duni

TIBA YA UGONJWA WA KISUKARI

ugonjwa wa kisukari unatibika kwa hali tofauti ,pia kutokana na mda wa tatizo ,Mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi,hii hufanya wengi kutopona kisukari kutokana na kutokuwa makini na kile tunachowaeleza .

NINI NINI TIBA YA KISUKARI

tuna dawa ya kutibu ugonjwa wa kisukari ambayo ni ya asili isiyo na kemikali (MTN ni dawa ya kisukari yenye usajili wa no Reg TZ 17TM0023, dawa hii hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa ,na kama ulishaaza kutumia dawa za ospitalina tunakushauli husiache kuzitumia mpaka pale sukari itakapokuwa nomor,dawa hii ipo kwenye mfumo wa vidonge na unga

Wasiliana nami au fika ofisini kwangu mbagara sabasaba piga 0782794980 WhatsApp +255782794980
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...