Rais @samia_suluhu_hassan ni kama amejisahau mara nyingi kwa kusema linaoendelea ni Bunge la Katiba badala ya kusema ni Bunge la Bajeti.
.
Akajihoji mwenyewe "Hivi nina maradhi gani na Katiba?". Akatoa majibu kwamba labda ni kwq sababu watu wanamsukuma sana kuhusu Katiba Mpya mpya.
.
Akawapa majibu ".... lakini wasahau kidogo..."