Thursday, April 8, 2021

Picha: RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akitokea Zanzibar. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akitokea Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akitokea Zanzibar leo tarehe 08 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Lazaro Mambosasa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akitokea Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wahudumu wa Shirika la Ndege ATCL mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akitokea Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kabla ya kuondoka Zanzibar na kurejea jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kabla ya kuondoka Zanzibar na kurejea jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Aprili 2021. PICHA NA IKULU

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...