Saturday, January 2, 2021

VIDEO: Polisi wakamata maboksi ya dawa 553, Waziri na RC watoa tamko


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kukamata maboksi zaidi ya 553 ya dawa mbalimbali pamoja na watuhumiwa 3 na kuweza kusaidia kulinda afya za wananchi na wakazi wa Mkoa wa Mbeya dhidi ya dawa hizo zilizokamatwa ambazo pia zimeisha muda wake wa matumizi

Dr. Mollel amesema hayo mara baada ya kwenda kuona dawa hizo zilizokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya mnamo tarehe 30 Desema 2020.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...