Polisi mmoja wa zamani katika mji wa Minnesota, aliyefunguliwa mashitaka ya mauaji ya mwanaume mweusi akiwa chini ya ulinzi wa polisi amepewa dhamana. Derek Chauvin, mwenye umri wa miaka 44, ambaye anakabiliwa na mshitaka ya kuua bila kukusudia katika tukio la Mei 25, la kifo cha George Floyd, mwenye umri wa miaka 46, aliachiwa kwa dhamana ya dola milioni moja, Jumatano. Chauvin pia anakabiliwa na mashitaka ya kiwango cha tatu cha mauaji, na mauaji ya kutokusudia. Katika video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii, Chauvin, alirekodiwa akiwa amemuwekea goti George Floyd, kwa takriban dakika tisa, huku Floyd ambaye alikuwa amefungwa pingu akisema mara kwa mara "siwezi kupumua." Tukio hilo lilichochea maandamano makubwa, na ghasia mjini Minneapolis, kote Marekani, na duniani.
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...