Kumbilamoto amesema hayo leo wakati akiomba kura kwa wananchi wa kata kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mtaa wa Kombo.
''Wananchi wa Vingunguti endapo mkinichagua kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 nitahakikisha hakuna mwananchi yeyote ambaye atalipia usafairi pindi atakapofia, nitanunua gari ambalo litatumika bure'' amesema Kumbilamoto
Aidha ameongeza changamoto hiyo imekuwa ikiwakabili kwa muda mrefu wananchi hao hivyo ameamua ili kuwasiaidia wananchi ambao wamekuwa wakikosa fedha ya kusafirishia maiti pindi wanapofiwa.