Utafiti  umegundua  kwamba  kuna  idadi  kubwa  sana  ya wanawake  na  wanaume  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  kuwa  na matumbo  makubwa  kiasi  ama  vitambi  kwa  lugha  nyingine. Uchunguzi wetu  umetuwezesha  kubaini  kuwa  katika  watu  kumi  wanao  tembea bararani  angalau  watatu  kati yao  wanasumbuliwa na  tatizo la kitambi.
Sababu kuu za tatizo la kitambi ni pamoja na;
Athari za tatizo la kitambi ni pamoja na :
Sababu kuu za tatizo la kitambi ni pamoja na;
- Ulaji mbovu wa vyakula ( Ulaji usio zingatia mlo kamili ).
 - Ulaji mbovu wa vyakula unajumuisha ulaji wa vyakula vya aina moja kwa wingi kupita kiasi bila kuzingatia aina nyinginezo, mfano ulaji wa vyakula vya mafuta mafuta kwa wingi kupita kiasi.
 - Unywaji wa pombe kupita kiasi
 - Kutofanya mazoezi ya mwili na viungo pamoja na sababu nyinginezo.
 
Athari za tatizo la kitambi ni pamoja na :
- Kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa ya hatari kama vile kisukari, moyo na presha.
 - Kutokuwa na uwezo wa kumudu tendo la ndoa ( kwa wanaume )
 - Kupunguza mvuto wa kimapenzi ( kwa wanawake na hata wanaume pia )
 - Kupoteza fedha na muda mwingi katika kuhangaika kutafuta tiba ya tatizo pamoja na athari nyinginezo lukuki.
 
