Wednesday, June 10, 2020

VIDEO: BANANGA APANGUA HOJA ZA MRISHO GAMBO


Mwenyekiti wa Mipango Miji wa jiji la Arusha ambaye ni diwani wakata ya Sombetini bwana Ally Bananga amemjibu mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa kile alichosema kuwa jiji la Arusha linashindwa kutekeleza maagizo yake ambapo amesema kuwa anachofanya ni kutunisha Misuli
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KU SUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...