MTU mmoja Ajulikanae kwa jina la Serafini Kisima Mwenye umri kati ya miaka 45 mpaka 47 anayeishi katika mtaa wa Kiranyi kata ya Kiranyi wilayani Arumeru amekutwa amefariki dunia kwa kile ambacho kinasemekana kuwa amejinyonga bafuni kwake mbapo sababu za kufanya hivyo hazijajulika ambapo Polisi wameshafika eneo hilo kwa ajili ya kuchukua mwili huo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE