Msimu wa ligi ya Ujerumani-Bundesliga utaanza tena Mei 16, kwa kuchezwa pasipo mashabiki uwanjani, ikiwa ni takribani miezi miwili tangu usimamishwe kutokana na janga la virusi vya corona.
Tangazo hilo la leo linatolewa siku tu, baada ya vilabu vya kandanda kuambiwa msimu unaweza kuanza kutokana na mkutano wa Kansela Angela Merkel na viongozi wa majimbo 16 ya Ujerumani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Ligi ya Soka ya Ujerumani Christian Seifert amesema uamuzi huo una maanisha uhai wa uchumi wa vilabu.
Na kwamba kila mtu anapaswa kuwa macho kabisa kwamba ni michezo ya majaribio na kusisitiza kila mmoja kusimamia vyema majukumuku yake.
Siku ya mwazo Jumamosi ya Mei 16 mchuano huo utazikutanisha timu 12 ambapo Borussia Dortmund itafuana na Schalke, Leipzig na Freiburg, Hoffenheim na Hertha Berlin, Dusseldorf na Paderborn na Augsburg na Wolfsburg.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...