Iran imesema mripuko wa virusi vya corona umetulia kwa kiasi fulani leo hii wakati taifa hilo likitangaza vifo vipya 68, pamoja na maambukizi mapya yanayopindukia 1,000 kwa siku ya nne mfululizo.
Taifa hilo limekuwa likikabiliana na mripuko wa corona tangu kutangazwa kwa kisa cha kwanza katikati ya Februari. Jumamosi iliyopita serikali ilitangaza viwango vya maambukizi vya watu 802, kikiwa ni kiwango cha chini kabisa tangu Machi 10.
Hata hivyo Jumapili ilitangaza tena maambukizi ya chini ya watu 1000.
Msemaji wa Wizara ya Afya, Kianoush Jahanpour pamoja na kutangaza hali hiyo ya unafuu anasema idadi jumla ya vifo nchini humo kwa sasa inafikia 6,486. Aidha visa vipya wa maambukizi vinafanya idadi jumla kufikia watu 103,135.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...