Wednesday, May 6, 2020
Is Love Blind? Wengi Wanataka Kujua Lilichomvutia Marehemu Tecra Muigai kwa Omar Lali
Bintiye mmiliki wa Keroche Breweries Tecra Muigai amekuwa katika ndimi za wengi na katika vichwa vya habari baada ya kifo chake na kutolewa kwa picha ya mpenzi wake Omar Lali .
Wengi na hasa mitandaoni wameshindwa kufahamu kilichomvutia msichana huyo kwa Lali ambaye kwa mujibu wa picha zinatolewa na mtindo wa maisha yake hakuwa mtu mwenye mwelekeo wa kistaarabu. Kando na madai yanayoibuka ya ulevi, raha kupindukia na utumizi ya dawa za kulevya, Lali sasa anajipata katika mkondo mbaya wa sheria kwa kutoa taarifa zinazokinzana kuhusiana na hali iliyosababisha kifo cha mpenzi wake Tecra .
Vituko! 'Tuliachana kwa sababu alikataa kuinoshea chupi' Ulipewa sababu gani ya kuachwa?
Hadi sasa mengi kumhusu marehemu Tecra hayajajulikana kwa sababu aliishi maisha ya usiri kinyume na dadake Anerlisa Muigai ambaye wengi wanamfahamu kutokana na mtindo wake wa kusimulia maisha na shughuli zake katika mitandao ya kijamii. Tecra Muigai aliaga dunia Mei tarehe 2 katika hospitali moja Nairobi ambako amekuwa akipokea matibabu tangu alipoanguka kwenye stairs huko Lamu alikokuwa na Lali .
Kulingana na gazeti la The Star, Lali na Tecra walikutana mwaka jana na Aprili mwaka huu, Tecra alimtembelea Lamu ambako anaishi. Walikodi chumba katika hoteli ya Manda Diamond kisha baadaye wakahamia katika nyuma ya kujivinjari –ili kuwa na muda wao binafsi mbali na macho ya umma. Wakati Tecra alipoanguka na kujeruhiwa, wazazi wake walimleta jijini kwa ndege ili apate matibabu hadi wakati alipoaga dunia. Duru zaarifu kuwa uchunguzi wa mwili wake umeahirishwa huku makachero wakijaribu kuunganisha matukio na hali iliyopelekea kifo chake .
Picha ya nyumba ya Omar iliyosambazwa mitandaoni imezua mhemko kweli .
Jarunda Mambobiad Unaacha residence unaenda omuresidence
Lucia Mendez Garzia Some want maisonettes others just want peace.
Nicholas Mijwang'a Hii ndiyo 'private residence'?
Vicky Willi Beautiful mansions await us in heaven
Joseph Onyimbo Rich women love from their heart but broke women love the money they are seeing
Lilian Thurgood In Mombasa these are some of the best houses
Asher Omondi This is the cottage they rented??
Marck Sang This house is good yawaa! Just because you were lucky to have a better house doesn't give you the right to denigrate those that have humbler abodes.
Dennis Nyagowa Love is so strange. I had a niece who was a medical lecturer, she fell so much in love with her garbage collector. We couldn't stop her. She died.
Marck Sang This house is good yawaa! Just because you were lucky to have a better house doesn't give you the right to denigrate those that have humbler abodes.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...