Wednesday, April 15, 2020

VIDEO: Waziri Simbachawene aagiza mkandarasi akamatwe


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani  Mkandarasi wa  Kampuni ya Nangonga, Mohammed Nagonga na vibarua wake baada ya kushindwa kusimamia ukarabati wa Barabara Kuu ya Dodoma Morogoro  katika eneo la Ihumwa hali iliyopelekea watu watatu kupoteza maisha

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...