Wednesday, April 15, 2020

Breaking: Zanzibar yatangaza wagonjwa wapya sita wa virusi vya corona


Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya kuongezeka kwa wagonjwa sita wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona na kufanya idadi ya wagonjwa kufikia 18 visiwani humo. Katika wagonjwa hao, watano ni raia wa Tanzania na mmoja raia wa Misri.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...