Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amekataa hotuba ya kambi rasmi ya upinzani kusomwa Bungeni kwa madai ina mambo mengi yasiyokuwa na ukweli, na kubainisha kuwa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu lisu hadai Bunge hata senti.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
Source