Wednesday, March 18, 2020
Harmonize Bado Yuko Chini ya Diamond ni Mbinu za Kibiashara tu
Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.
Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa mzungumzaji sana, tunajua Wasafu ni watu wa mikakati na hilo wanaliweza sana tu
Kwa nini Harmonize aondoke, Kakua..?, anaweza kujitegemea..?, Ila ni kwamba Harmonize ni Akaunti iliyokuwa inajitosheleza ili iingize kipato sasa kivipi akae na Diamond hapo hapo, Mikakati inaanza ili atoke akajitegemee faida irudi na Media zingine zianze kumsapoti pesa iingie Wasafi huku asilimia kubwa akichukua yeye
Diamond majuzi kasapoti kwa kuposti kava ya Album ya Harmonize kuaminisha mtoto hata akijisaidia huwezi kata mkono, ila kibiashara streaming na dowloads zitaongezeka pesa itakuja nyumbani why nisiposti wakati nina wafuasi wengi,
Media zingine hazichezi nyimbo zangu Diamond ila Dogo atachezwa atapata coverage na Endorsement zinajileta pesa itaingia na Air Wave majina yatakuwa ni Diamond and Harmonize na Hakuna mwingine wakuturinganisha na sisi
Tuone hili,
Diamond- A boy from tandale imetoka tarehe 14/03/2018
Harmonize- Afro East imetoka tarehe 14/03/2020
Diamond A boy from Tandale ina nyimbo 18
Harmonize- Afro East ina nyimbo 18 .
Bado hamuamini Harmonize yupo chini ya Diamond?
Mapovu ruksa, Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzin...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe asomewa mashtaka matatu ya uchochezi, yenye nia ya kuleta ch...
