Kabla Hajaingia Kwenye Siasa Mbowe Alikuwa DJ mmoja Matata sana
Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA Freeman Aikael Mbowe kabla hajawa Mwenyekiti wa chama hiki alikuwa ni DJ Matata sana enzi zake, kwa sasa tunaweza kumuita mstaafu katika hii tasnia ya u DJ.