WANADADA anayekimbiza kwenye Tamthiliya ya Kapuni, Mwanaheri Ahmed amefunguka kwamba anajijua kuwa ameumbika lakini kamwe hawezi kujilengesha kwa wanaume wakware. Akipiga stori na Gazeti la Amani, Mwanaheri alisema mara nyingi akikaa kwenye kioo huwa anajiangalia na kuishia kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake lakini kamwe hawezi kujirahisi licha na kutamaniwa na wanaume wengi.
"Ninajijua kuwa nina lishepu zuri, tena mara nyingi nikiwa najiangalia kwenye kioo najizungusha nyuma na mbele, kisha naishia kusema asante Mungu kwa uumbaji wako, ameniumba haswa na mimi ni mzuri bwana ndio maana niliwekwa ndani," alisema Mwanaheri ambaye aliolewa mapema mwaka jana na mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina moja la Hamisi
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...